PASHA FM YATARAJIWA KUWASHWA 2022

Radio mpya  inayoitwa PASHA FM  inatarajiwa kuwashwa rasmi mwanzoni mwa mwaka 2022 Mbinga Mkoa wa Ruvuma. Hayo yamedhibitishwa na moja ya wamiliki wa Radio hiyo Eng. Clarence siku moja baada ya kukamilisha miundo mbinu ya studio wiki mbili zilizopita.